iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Iran na Saudi Arabia ni nchi muhimu katika eneo na Ulimwengu wa Kiislamu na akaeleza kwamba ana matumaini ushirikiano baina ya nchi hizo mbili utasaidia kutatua matatizo ya eneo na ya Ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3474889    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/04